Karibu Japani inayostaajabisha!
Maripota wa Redio Japani wanakuchukua katika safari yao ili kutembelea maeneo ya kuvutia kote nchini Japani. Mfululizo huu wa vipindi umesheheni taarifa mbalimbali za maeneo kadhaa ya Japani pamoja na utamaduni, matukio na vyakula nchini Japani.